Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

  • YOHANE 13:34-35

    Amri mpya nawapa, Mpendane. Kama vile nilivyowapenda ninyi, nanyi mpendane vivyo hivyo. Hivyo watu wote watatambua ya kuwa ninyi mmekuwa wanafunzi wangu, mkiwa na upendo ninyi kwa ninyi. .

  • Marko 13:33-34

    Angalieni, kesheni, [ombeni], kwa kuwa hamjui wakati ule utakapokuwapo. Mfano wake ni kama mtu mwenye kusafiri, ameiacha nyumba yake, amewapa watumwa wake amri, na kila mtu kazi yake, naye amemwamuru bawabu akeshe.

  • Luka 15:7

    Nawaambia, Vivyo hivyo kutakuwa na furaha mbinguni kwa ajili ya mwenye dhambi mmoja atubuye, kuliko kwa ajili ya wenye haki tisini na kenda ambao hawana haja ya kutubu

Monday, 30 December 2013

Wanaushirika wa Kinondoni

Mtumishi Dada  Martha Kagoa akiwahubiria injili Washarika wa Kinondoni
Wanakwaya wakiimba na kumsifu Bwana
Mwinjilisti  Mchome akihubiri injili

Wanakwaya kutoka Dodoma wakimuimbia Bwana
Wanakwaya kutoka Dodoma wakimuimbia Bwana na kumsifu

0 comments:

Post a Comment