Kwaya ikiimba na kumsifu bwana kwa mapambio |
Kwaya ikiinogesha ibada ya tarehe 02 February 2014 |
Waumini wakiwa makini wakimsikiliza mchungaji |
Washarika wakiwa madhabahuni wakitoa fungu la kumi |
Mwinjilisti akiwaaga washirika wa Kinondoni aloishi nao kwa miaka 5 |
Mwinjilisti akiwaaga washirika wa Kinondoni akiwa amehamia Goba |
Huyo ni miongoni mwa washirika ambao mchungaji alivumbua vipaji vyao vya kuendesha mnada |
Wazee wa kanisa wakiwa na amani ya yesu miyoni mwao |
0 comments:
Post a Comment