Washirika wakifuatilia mkutano mkuu wa Kinondoni |
Washirika walifuatilia kwa makini Mkutano mkuu |
Mahudhurio ya mkutano mkuu yalikuwa yakuridhisha |
Mkutano mkuu ulipendeza sana |
Mahudhurio yalikuwa yanaridhisha sana siku ya mkutano mkuu |
Washirika waliuliza maswali na Mchungaji alijibu kwa ufasaha |
Washirika wakiuliza maswali siku ya mkutano mkuu |
Washirika wakiuliza maswali siku ya mkutano mkuu |
Washirika wakiuliza maswali siku ya mkutano mkuu |
Mchungaji akijibu maswali ya washirika siku ya mkutano mkuu |
Washirika wakisikiliza kwa umakini Mkutano mkuu |
Watoto wakiwa kwenye Sunday school wakipata maadili mema kuhusu Yesu Kristo |
Yote ni katika kufurahia mkutano mkuu |
WATOTO WAKIWA KATIKA POZI ZURI KABISA LA KUJIDAI |
Mchungaji aligundua kipaji cha Mama Mushi cha Usherheshaji wa mnada |
Siku ya Epifania washirika wakiwa makini |
Picha mbalimbali kama zilivyochukuliwa siku ya mkutano mkuu |
Jamani hata kwa Yesu warembo wanapatikana |
Pongezi za mwaka mpya kutoka kwa mchungaji |
Upendo utawale mwaka mpya wa 2014 |
0 comments:
Post a Comment