Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

  • YOHANE 13:34-35

    Amri mpya nawapa, Mpendane. Kama vile nilivyowapenda ninyi, nanyi mpendane vivyo hivyo. Hivyo watu wote watatambua ya kuwa ninyi mmekuwa wanafunzi wangu, mkiwa na upendo ninyi kwa ninyi. .

  • Marko 13:33-34

    Angalieni, kesheni, [ombeni], kwa kuwa hamjui wakati ule utakapokuwapo. Mfano wake ni kama mtu mwenye kusafiri, ameiacha nyumba yake, amewapa watumwa wake amri, na kila mtu kazi yake, naye amemwamuru bawabu akeshe.

  • Luka 15:7

    Nawaambia, Vivyo hivyo kutakuwa na furaha mbinguni kwa ajili ya mwenye dhambi mmoja atubuye, kuliko kwa ajili ya wenye haki tisini na kenda ambao hawana haja ya kutubu

Friday, 14 February 2014

IBADA YA KUSIFU NA KUABUDU


Mwinjilisti na Mchungaji wakifurahia kwa pamoja
Mwinjilisti karibu sana Ushirika wa Kinondoni
Maombezi yakiendelea na shetani akikimbia katika ibada ya kusifu na kuabudu
     
Washirika kwa pamoja wakisifu

Mama Liundi akisoma matangazo siku ya kuasifu na kuabudu

Washarika wakisifu katika ibada ya kusifu na kuabudu

Mwinjilisti mpya akitoa neno la shukrani

Washirika wakisifu kwa sebene katika ibada ya kusifu na kuabudu

Washirika wakisifu kwa kwaito

Washirika wakisikiliza mahubiri

Washirika wakisikiliza kwa makini siku ya kuabudu na kusifu

Mchungaji akihubiri siku ya kuabudu na kusifu

Maombezi yalikuwa mazuri na shetani alishindwa

Washirika wakijongea kwa ajili ya maombezi

Washirika wakifuatilia maombi kwa makini siku ya kusifu na kuabudu












0 comments:

Post a Comment