Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

  • YOHANE 13:34-35

    Amri mpya nawapa, Mpendane. Kama vile nilivyowapenda ninyi, nanyi mpendane vivyo hivyo. Hivyo watu wote watatambua ya kuwa ninyi mmekuwa wanafunzi wangu, mkiwa na upendo ninyi kwa ninyi. .

  • Marko 13:33-34

    Angalieni, kesheni, [ombeni], kwa kuwa hamjui wakati ule utakapokuwapo. Mfano wake ni kama mtu mwenye kusafiri, ameiacha nyumba yake, amewapa watumwa wake amri, na kila mtu kazi yake, naye amemwamuru bawabu akeshe.

  • Luka 15:7

    Nawaambia, Vivyo hivyo kutakuwa na furaha mbinguni kwa ajili ya mwenye dhambi mmoja atubuye, kuliko kwa ajili ya wenye haki tisini na kenda ambao hawana haja ya kutubu

Monday, 11 April 2016

TAZAMA ILIVYO VEMA NA KUPENDEZA NDUGU WAKAE PAMOJA KWA UMOJA

Wazee wa Kanisa  KKKT Kinondoni wakiwa  
Bagamoyo kwenye Semina


Viongozi wa KKKT Usharika wa Kinondoni wakiwa  na 
Msaidizi wa Askofu  Mch. Fupe pamoja na Mch. Hananja
Msaidizi wa Askofu Mch. Fupe  akiwa na 
Mch. Hananja wa KKKT Usharika wa Kigogo
Mch. Richard Hananja wa KKKT Kigogo  akiwafundisha 
Wazee wa Kanisa KKKT Kinondoni

0 comments:

Post a Comment