Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

  • YOHANE 13:34-35

    Amri mpya nawapa, Mpendane. Kama vile nilivyowapenda ninyi, nanyi mpendane vivyo hivyo. Hivyo watu wote watatambua ya kuwa ninyi mmekuwa wanafunzi wangu, mkiwa na upendo ninyi kwa ninyi. .

  • Marko 13:33-34

    Angalieni, kesheni, [ombeni], kwa kuwa hamjui wakati ule utakapokuwapo. Mfano wake ni kama mtu mwenye kusafiri, ameiacha nyumba yake, amewapa watumwa wake amri, na kila mtu kazi yake, naye amemwamuru bawabu akeshe.

  • Luka 15:7

    Nawaambia, Vivyo hivyo kutakuwa na furaha mbinguni kwa ajili ya mwenye dhambi mmoja atubuye, kuliko kwa ajili ya wenye haki tisini na kenda ambao hawana haja ya kutubu

Monday, 30 December 2013

KKKT Kinondoni

Wanaushirika wa Kinondoni wakisikiliza mahubiri kwa makini

Kwaya ya vijana iliyoalikwa kutoka nje ya Dares Salaam wakisikilza mahubiri

Baba Mch. Mwipile  akwahubiria wanasharika
Wanaushirika wakisikiliza mahubiri kwa makini

Waumini wakiwa makini kusikiliza Mahubiri

 Baba Mchungaji Mwipile na Muhubiri Martha Kagoa wakiwa wameketi

Wanakwaya wakimsifu Bwana

0 comments:

Post a Comment