Kanisa jipya la Kinondoni Lilipofikia |
Wazee wa Kanisa Usharika wa Kinondoni |
Wazee wa kanisa wakipongeza |
Washirika wakisikiliza Neno la Mungu |
Washirika wakisikiliza Nano la Mungu |
Tunahitajiana
Amri mpya nawapa, Mpendane. Kama vile nilivyowapenda ninyi, nanyi mpendane vivyo hivyo. Hivyo watu wote watatambua ya kuwa ninyi mmekuwa wanafunzi wangu, mkiwa na upendo ninyi kwa ninyi. .
Angalieni, kesheni, [ombeni], kwa kuwa hamjui wakati ule utakapokuwapo. Mfano wake ni kama mtu mwenye kusafiri, ameiacha nyumba yake, amewapa watumwa wake amri, na kila mtu kazi yake, naye amemwamuru bawabu akeshe.
Nawaambia, Vivyo hivyo kutakuwa na furaha mbinguni kwa ajili ya mwenye dhambi mmoja atubuye, kuliko kwa ajili ya wenye haki tisini na kenda ambao hawana haja ya kutubu
Wanaushirika wa Kinondoni wakisikiliza mahubiri kwa makini |
Kwaya ya vijana iliyoalikwa kutoka nje ya Dares Salaam wakisikilza mahubiri |
Baba Mch. Mwipile akwahubiria wanasharika |
Wanaushirika wakisikiliza mahubiri kwa makini |
Waumini wakiwa makini kusikiliza Mahubiri |
Baba Mchungaji Mwipile na Muhubiri Martha Kagoa wakiwa wameketi |
Wanakwaya wakimsifu Bwana |