Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

  • YOHANE 13:34-35

    Amri mpya nawapa, Mpendane. Kama vile nilivyowapenda ninyi, nanyi mpendane vivyo hivyo. Hivyo watu wote watatambua ya kuwa ninyi mmekuwa wanafunzi wangu, mkiwa na upendo ninyi kwa ninyi. .

  • Marko 13:33-34

    Angalieni, kesheni, [ombeni], kwa kuwa hamjui wakati ule utakapokuwapo. Mfano wake ni kama mtu mwenye kusafiri, ameiacha nyumba yake, amewapa watumwa wake amri, na kila mtu kazi yake, naye amemwamuru bawabu akeshe.

  • Luka 15:7

    Nawaambia, Vivyo hivyo kutakuwa na furaha mbinguni kwa ajili ya mwenye dhambi mmoja atubuye, kuliko kwa ajili ya wenye haki tisini na kenda ambao hawana haja ya kutubu

Wednesday, 13 April 2016

Ibada ya 09.04.2016 Kinondoni

Wageni wa KKKT Kinondoni 
Kutoka Japan wakiwa na Mzee  M. Leveri
Wageni wakiwa na Baadhi ya 
Washirika wa Kinondoni
Mgeni kutoka Japan akiwa na 
Mzee wa Kanisa Mama Liundi
Mr. Materu KKKT Kinondoni
Mzee wa Kanisa KKKT Kinondoni Mama Matunda
Mzee Mama Mushi na Ndosi
Mhasibu KKKT Kinondoni Dada Ruth
Mhasinu KKT Kinondoni  katika tabasamu  halisi
Mzee wa Kanisa Mama 
Mzee wa Kanisa KKKT Kinondoni Mama Levery

Tuesday, 12 April 2016

Mkuu wa Jimbo Mch A. Muro akiwa Kinondoni



 Mkuu wa Jimbo Mch Muro  
akiendesha Ibada KKKT Kinondoni

Mch Ismail Mwipile akiendesha maombezi  
KKKT Kinondoni
Mkuu wa Jimbo Mch. Muro 
Akiwa Ibadani KKKT Kinondoni

Monday, 11 April 2016

TAZAMA ILIVYO VEMA NA KUPENDEZA NDUGU WAKAE PAMOJA KWA UMOJA

Wazee wa Kanisa  KKKT Kinondoni wakiwa  
Bagamoyo kwenye Semina


Viongozi wa KKKT Usharika wa Kinondoni wakiwa  na 
Msaidizi wa Askofu  Mch. Fupe pamoja na Mch. Hananja
Msaidizi wa Askofu Mch. Fupe  akiwa na 
Mch. Hananja wa KKKT Usharika wa Kigogo
Mch. Richard Hananja wa KKKT Kigogo  akiwafundisha 
Wazee wa Kanisa KKKT Kinondoni

FURAHINI KATIKA BWANA