Mwinjilisti na Mchungaji wakifurahia kwa pamoja |
Mwinjilisti karibu sana Ushirika wa Kinondoni |
Maombezi yakiendelea na shetani akikimbia katika ibada ya kusifu na kuabudu |
Washirika kwa pamoja wakisifu |
Mama Liundi akisoma matangazo siku ya kuasifu na kuabudu |
Washarika wakisifu katika ibada ya kusifu na kuabudu |
Mwinjilisti mpya akitoa neno la shukrani |
Washirika wakisifu kwa sebene katika ibada ya kusifu na kuabudu |
Washirika wakisifu kwa kwaito |
Washirika wakisikiliza mahubiri |
Washirika wakisikiliza kwa makini siku ya kuabudu na kusifu |
Mchungaji akihubiri siku ya kuabudu na kusifu |
Maombezi yalikuwa mazuri na shetani alishindwa |
Washirika wakijongea kwa ajili ya maombezi |
Washirika wakifuatilia maombi kwa makini siku ya kusifu na kuabudu |